Tusifanye siasa kwenye mfumuko wa bei

0
Mbunge wa Mvumi Livingstone Lusinde amsema kusiwepo na siasa kwenye suala la mfumuko wa bei na badala yake ameshauri Serikali itumie njia sahihi ya kushughulikia suala hilo.Lusinde amesema Wananchi wengi hasa wa maeneo...

Wafugaji wa kuku walia na ukosefu wa vifaranga

0
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda ameiomba Wizara ya Mifugo na Uvuvi kuondoa adha ya kukosekana kwa vifaranga vya kuku bora nchini pamoja na tatizo la upatikanaji wa chakula bora cha kuku.Waziri Mkuu Mstaafu Pinda...

Mauzo ya hisa yaongezeka DSE

0
Msemaji wa Soko la Hisa la Dar es Salaam Mary KinaboWiki iliyopita ilikuwa yenye mavuno manono kwa soko la hisa la Dar es salaam (DSE)  baada ya mauzo ya hisa kuongezeka karibu mara nne...

BLUE PRINT ITARAHISISHA UFANYAJI BIASHARA TANZANIA: TPSF

0
Mwenyekiti wa sekta Binafsi hapa nchini –TPSF Salum Shamte amesema, serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli inafanya vizuri katika kuweka mazingira mazuri ya kufanya biashara hapa nchini.Akihutubia...

Youtube kuziweka alama “watermark” video zake.

0
Kampuni ya Google kupitia mtandao wa Youtube umepanga kuanza kuweka alama “Watermark” kwenye video ambazo zinachezwa kwenye mtandao huo katika siku za hivi karibuni.Hatua hiyo ya YouTube inakuja baada ya kampuni ya China ya...

Dkt. Mpango : Biashara ni ushindani

0
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewashauri Wafanyabiashara nchini kuboresha biashara zao, ili ziweze kushindanishwa katika soko la dunia.Dkt. Mpango ameyasema hayo wakati wa ufunguzi rasmi wa maonesho ya 45 ya Kimataifa...

Mercedes – Benz wazindua gari linalotumia umeme pekee

0
Kampuni ya kuunda magari kutoka nchini Ujerumani ya Mercedes - Benz, imezindua gari jipya linalotumia nishati ya umeme peke yake lililopewa jina la EQXX.Gari hilo lina uwezo wa kutembea umbali wa maili 620, baada...

Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) lateua mabalozi Tanzania

0
Baraza la Biashara Afrika Mashariki (EABC) limewateua Watanzania watatu kuwa mabalozi wa baraza hilo nchini, ili kuhakikisha linatimiza wajibu wake ipasavyo na kufanya biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na nchi za Afrika Mashariki...