Tanzania kutangaza miradi mikubwa Expo 2020 Dubai

0
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania katika kuitangaza nchi kupitia maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dubai (Expo 2020 Dubai) yaliyofunguliwa mwezi huu na yanayotarajiwa kumalizika mwezi Machi mwaka 2022.Rais...

Serikali kukamilisha Mkataba kati ya KOSGEB ya Uturuki na SIDO ya Tanzania.

0
  Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amesema Serikali itakamikisha na kutekeleza Mkataba wa Makubaliano kati ya Shirika la Maendeleo ya Viwanda vidogo na Biashara ndogo na za kati...

Majibu ya serikali kuhusu utaratibu wa uuzaji Makinikia

0
Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema kilichofanyika kwenye uuzaji wa makinikia ya madini nchini ni kubadili mfumo wa uuzaji rasilimali hiyo.Amesema kuwa utaratibu wa awali ulikuwa unamruhusu mwekezaji kusafirisha mchanga huo nje ya...

Tuzo za Rais za wazalishaji bora kutolewa Oktoba 8

0
Shirikisho la wenye viwanda nchini CTI Kwa kushirikiana na shirika la Maendeleo la Ujerumani GIZ wamewataka Wazalishaji viwandani kuwa na utamaduni wa kushiriki na kuwania Tuzo za Rais za Mzalishaji bora viwandani ili kusaidia kuongeza ushindani wa uzalishaji...

Mercedes – Benz wazindua gari linalotumia umeme pekee

0
Kampuni ya kuunda magari kutoka nchini Ujerumani ya Mercedes - Benz, imezindua gari jipya linalotumia nishati ya umeme peke yake lililopewa jina la EQXX.Gari hilo lina uwezo wa kutembea umbali wa maili 620, baada...

Tozo katika bidhaa za mafuta kupunguzwa

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa  kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta  hapa nchini , zenye thamani ya shilingi bilioni 102 kwa mwaka ili kuwapa unafuu Wananchi.Rais Samia Samia...

Serikali kujenga mizani nyingine Mnazi Mmoja

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa muda wa miezi miwili kwa Mkurugenzi wa manispaa ya Lindi kujenga kituo cha mabasi na malori katika eneo la Mnazi Mmoja,   ili kupunguza msongamano wa magari katika...

Rais Samia awatumbua mabosi wa bandari

0
Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli nchini (MSCL).Rais amechukua uamuzi huo leo asubuhi alipofanya ziara katika Bandari ya Dar es...