‘GOOGLE TIMELAPSE’ YAREKODI MWONEKANO WA DUNIA 2020-2022

0
Kampuni ya kiteknolojia ya Google imeachilia kipengele kipya ‘update’ cha mfumo wa kuhesabu muda ulimwenguni wa ‘Google Timelapse’ ya miaka miwili kuonesha namna dunia imekuwa ikipitia mabadiliko mbalimbali ikiwemo ya tabianchi na kukua kwa...

Wawekezaji sekta ya mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika sekta ya mawasiliano ambao wanaleta mageuzi.Waziri Nape amesema hayo jijini Dar es Salaam alipotembelea...

Mjadala wa mabadiliko ya uchumi duniani

0
Mweka Hazina kutoka benki ya CRDB Olais Tira amesema, uchumi wa Taifa unaweza kuathirika zaidi kutegemea namna ambavyo Taifa husika limejipanga kukabiliana na athari zitokanazo na mdororo wa kiuchumi duniani.Akizungumza mkoani Dar es Salaam...

Bidhaa ziongezwe thamani

0
Esther Maruma, ambaye ni miongoni mwa wachangia mada katika mjadala unaohusu mabadiliko ya uchumi duniani, athari na suluhisho kwa Mwananchi wa kawaida amesema, katika kipindi hiki cha mdororo wa kiuchumi Duniani Taasisi za fedha...

Athari na suluhisho la mdororo wa uchumi

0
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha akiwa ndiye mwendesha mjadala wa Mdororo wa Uchumi Ulimwenguni uliofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano (JNICC) mkoani Dar es Salaam amesema...

Vituo 9 vya kujaza gesi kwenye magari kujengwa

0
Kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya huduma ya kuunganishiwa gesi asilia kwenye magari, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa kuongeza vituo vingine vya kutolea huduma hiyo ili kukabiliana na uhitaji.Akizungumza...

Chongolo ashauri kompyuta liwe somo la lazima VETA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameshauri vyuo vyote vya ufundi stadi nchini vifundishe somo la kompyuta kama somo la lazima, ili kuendana na teknolojia na mahitaji ya sasa ya dunia.Chongolo...

Tiktok yapigwa marufuku

0
Tume ya Ulaya imepiga marufuku wafanyakazi wa Umoja wa Ulaya (EU) kutumia mtandao wa TikTok.Hatua hiyo imefikiwa kufuatia Marekani na serikali za Magharibi kupiga marufuku matumizi ya mtandao huo unaomilikiwa na China kwa sababu...

Kioo miongoni mwa bidhaa zitakazotangulia AfCFTA

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amekishauri kiwanda cha Kioo Limited kuendelea kuzalisha bidhaa za kioo kwa wingi, zenye ubora na viwango vinavyohitajika kwa ajili ya soko la Eneo Huru la...

Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti

0
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.Upekee wa hoteli hii ni mahali ilipo ambapo ipo katika mpaka wa kimataifa.Uwepo wa hoteli Arbez Franco-Suisse katika eneo hilo ni matokeo...