Serikali yataja faida za ushirikiano na DP World

0
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema manufaa mengi yanatarajiwa kupatikana iwapo Bunge litaridhia azimio la uendelezaji wa bandari ambalo litawezesha Serikali kuendelea na hatua zinazofuata za majadiliano na Serikali ya Dubai.Baadhi...

Magazeti ya Nipashe na The Guardian yaonywa upotoshaji suala la Tanzania na Dubai

0
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson ameyaonya magazeti ya Nipashe na The Guardian kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa Bunge limejadili na kupitisha makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai Kuhusu...

Wasanii wakosa mikopo kwa kutokuwa na elimu ya uwekezaji

0
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imesema imetoa asilimia 11.6 tu ya mikopo yote iliyoombwa na wasanii mbalimbali kati ya Julai 2022 hadi Aprili 2023 kutokana na waombaji kutokuwa na elimu ya uwekezaji.Hayo yameelezwa...

Waziri Mkuu aunda tume kushughulikia kero za Wafanyabiashara Kariakoo

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameunda tume ya watu 14 ambao watashughulikia kero za Wafanyabiasha katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam.Katika timu hiyo Wajumbe saba wanatoka Serikalini na saba ni Wafanyabiashara, ambapo timu hiyo...

NBC yakabidhi gawio la Bil 6

0
Benki ya NBC imekabidhi Gawio Serikalini la shilingi Bilioni sita, ikiwa ni sehemu ya faida ya shilingi Bilioni 81.9 iliyopatikana kwa mwaka 2022.Mfano wa hundi ya Gawio hilo imekabidhiwa mkoani Dar es Salaam kwa...

Namba moja kwa vifaa vinne

0
Mtandao wa WhatsApp umeongeza wigo wa utoaji huduma kwa kuruhusu mtumiaji kuweza kutumia namba moja kwa vifaa vya kielekroniki vinne.Akitoa tangazo hilo rasmi mmiliki wa mtandao huo Mark Zuckerberg amesema “Kuanzia leo, unaweza kuingia...

‘GOOGLE TIMELAPSE’ YAREKODI MWONEKANO WA DUNIA 2020-2022

0
Kampuni ya kiteknolojia ya Google imeachilia kipengele kipya ‘update’ cha mfumo wa kuhesabu muda ulimwenguni wa ‘Google Timelapse’ ya miaka miwili kuonesha namna dunia imekuwa ikipitia mabadiliko mbalimbali ikiwemo ya tabianchi na kukua kwa...

Wawekezaji sekta ya mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika sekta ya mawasiliano ambao wanaleta mageuzi.Waziri Nape amesema hayo jijini Dar es Salaam alipotembelea...

Mjadala wa mabadiliko ya uchumi duniani

0
Mweka Hazina kutoka benki ya CRDB Olais Tira amesema, uchumi wa Taifa unaweza kuathirika zaidi kutegemea namna ambavyo Taifa husika limejipanga kukabiliana na athari zitokanazo na mdororo wa kiuchumi duniani.Akizungumza mkoani Dar es Salaam...

Bidhaa ziongezwe thamani

0
Esther Maruma, ambaye ni miongoni mwa wachangia mada katika mjadala unaohusu mabadiliko ya uchumi duniani, athari na suluhisho kwa Mwananchi wa kawaida amesema, katika kipindi hiki cha mdororo wa kiuchumi Duniani Taasisi za fedha...