TIC yamaliza mgogoro baina ya mwekezaji na TRA Kagera

0
Mkurugenzi Mtendaji wa TIC Geoffrey Mwambe akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenera Marco Gaguti wamefanya ziara katika kiwanda cha kuzalisha vinywaji Vikali cha Ambiance Distilleries Tanzania Ltd kwa lengo la kumaliza mgogoro baina ya...

Dhamira ya Serikali ni kuwaondoa kwenye Uvuvi wa kuwinda:Ulega

0
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi ya Zanzibar zinafanya jitihada kubwa ili kuwafanya wavuvi wawe na uhakika wa kupata...

Vunja Bei agawa vyombo kwa watumishi wa MUHAS

0
Shija Kamanija 'Vunja Bei' ametoa zawadi ya vyombo kwa wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS)Huu umekuwa ni mwendelezo wa zoezi lake la kugawa vyombo katika taasisi za Serikali kati yao...

Wanawake na vijana kuwezeshwa katika biashara

0
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni sehemu salama kwa wafanyabiashara na wawekezaji wanawake pamoja na vijana.Rais Samia ameyasema hayo mkoani Dar es Salaam wakati akifungua rasmi mkutano wa wanawake na vijana katika...

TRA: Tumepata mrejesho mzuri

0
Afisa mwandamizi wa kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Lameck Daniel amesema kwa kipindi cha manonesho ya wakulima Nanenane wamepata mrejesho mzuri wa elimu kwa umma kuhusu ulipaji wa kodi kwa wakulimaAmeyasema hayo...

Meneja wa TTCL atumbuliwa, Shirika la Posta kuchunguzwa

0
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Mathew ametengua uteuzi wa Meneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) mkoa wa Kagera, Irene Shayo kuanzia Julai 30, 2021 kwa kile kilichobainika kuwa...

CRDB kuwafikiria wachimbaji wadogo

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, - Abdulmajid Nsekela amesema kuwa  kwa muda mrefu imekua ni vigumu kuwakopesha wachimbaji wa madini nchini kutokana na wachimbaji hao kutokuwa na makazi ya kudumu.Nsekela ametoa kauli hiyo jijini Dar es...

Tanzania kuingia uchumi wa kati kutavutia wawekezaji

0
Serikali imewataka wananchi kuendelea kupenda bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini kwani chanzo cha nchi kufikia uchumi wa kati ni pamoja na wananchi wake kupendelea bidhaa ambazo wanazizalisha wao kama wao, na mafanikio...

TADB yasema ina mtaji wa kutosha

0
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Nchini (TADB) Japhet Justine amesema kuwa benki hiyo ina mtaji wa kutosha kwa sasa kwa ajili ya kuwahudumia wakulima.Justine amesema kuwa kwa mujibu wa...

CONDESTER SICHALWE: “POMBE ZA KIENYEJI ZIPEWE VIWANGO”

Mbunge wa Momba (CCM) Condester Sichalwe, ameishauri Serikali, kutafuta namna bora ya kuboresha viwango vya pombe za kienyeji ili kuzipa viwango stahiki kutokana na viwango vya TBS.Condester ameyasema hayo Bungeni wakati wa kujadili hoja...