Tanzania na Marekani zatia saini mikataba ya trilioni 11
Rais Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba saba kati ya makampuni ya Marekani na Tanzania yenye lengo la kufanya biashara na uwekezaji mkubwa nchini.Mikataba iliyosainiwa ina thamani ya shilingi trilioni 11.7, na...
Bilioni 50 zatolewa kununua mahindi
Serikali imetoa shilingi bilioni 50 kwa ajili ya kununua mahindi kutoka kwa Wakulima wa maeneo mbalimbali nchini.Akiahirisha mkutano wa nne wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma, Waziri Mkuu Majaliwa...
IMF kuipatia Tanzania mkopo wa trilioni 1.3
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limeridhia kutoa mkopo nafuu kwa Tanzania wa dola milioni 567.25 za Kimarekani sawa na shilingi trilioni 1.3, kwa ajili ya kukabiliana na...
Chachacha za Gucci kuuzwa milioni 1
Kwa sasa ulimwengu wa mitindo umepatwa na msisimuko kutoka @gucci kutokana na mojawapo ya miundo yao ya kiatu cha “jelly slippers” maarufu Afrika Mashariki kwa jina la chachacha.Kiatu hiki cha Gucci kinauzwa dola...
Tanzania Royal Tour kuwafikia watu bilioni 1
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema wanatarajia kuwafikia watu bilioni moja katika mwaka mmoja kusambaza filamu ya Royal Tour.Dkt. Abbasi amesema kuwa mikakati mbalimbali imewekwa ya kusambaza...
Mkandarasi aagizwa kukamilisha ujenzi wa mizani
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marko Gaguti ametoa muda wa siku saba kwa mkandarasi anayejenga ghala la kuhifadhia korosho katika kijiji cha Mtimbwilimbwi halmashauri ya mji wa Nanyamba, kukamilisha ujenzi...
Benki ya Taifa ya Ushirika si ya wazee
Mrajisi wa Vyama vya Ushirika nchini Dkt. Benson Ndiege amewasihi Vijana nchini kujiunga na Benki ya Taifa ya Ushirika (NCB) kwani ni uwekezaji mzuri kuuanza katika umri mdogo.Akizungumza kwa niaba ya Waziri wa...