Halmashauri kupimwa kwa kubuni vyanzo vya mapato
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amesema kigezo cha ziada cha kuzipima halmashauri zote nchini kuanzia mwaka wa fedha ujao ni kila halmashauri kubuni...
Miradi ya maji inachangia kukuza uchumi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema serikali inawekeza katika Sekta ya Maji ili kukidhi mahitaji ya wananchi, hatua ambayo ina mchango katika kukuza uchumi.Amesema hayo wakati akifungua Mkutano...
Mfumuko wa bei nchini umedhibitiwa
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema mfumuko wa bei nchini umeendelea kudhibitiwa ambapo kwa kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2023 ulifikia wastani wa asilimia 3.2, kiwango ambacho kipo ndani ya lengo la...
Miradi 526 imesajiliwa nchini mwaka 2023
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema kwa mujibu wa takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) miradi 526 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 5.7 ilisajiliwa nchini kwa mwaka 2023, ikilinganishwa na...
Mteja anapunguziwa bei asipodai risiti
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaja changamoto katika masuala ya kujenga uchumi na kukuza ukusanyaji wa mapato ya ndani.Akizungumza katika Jukwaa la Kodi na Uwekezaji la Mwaka 2024 jijini Dar es Salaam, amesema...
Bei ya Mwani yaongezeka
Wakulima wa Mwani katika kijiji cha Mungoni, Zanzibar wameendelea kunufaika na zao hilo kwa kupata bei nzuri ya kati ya shilingi elfu moja mpaka shilingi elfu mbili kwa kilo moja.Wakulima hao wameyasema hayo baada...
Taasisi ziwe na Mipango inayotekelezeka
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Viwanda na Biashara na Taasisi zake kuhakikisha Mipango yote inayopangwa kila mwaka inaendana na mwelekeo wa Viongozi Wakuu wa Nchi, Mipango...
Bashe asema Serikali haijazuia uuzaji mazao nje
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kuwa Serikali haijazuia watu kufanya biashara ya kuuza mazao nje ya nchi, badala yake kilichozuiwa ni watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu wa kisheria.Bashe amesimama bungeni kutoa msimamo...
Mashine ya kurekodi ndoto yapatikana
Umewahi kuamka asubuhi na kusahau kabisa ulichokiota na ukijua kuna uwezekano usiwahi kamwe kukikumbuka tena?.Hivi sasa Wanasayansi wamebadili mwelekeo wa dhana hiyo.Wanasayansi hao kutoka nchini Japan wamevumbua kifaa kinachoweza kurekodi ndoto ukiwa...
Nakufahamisha tu! Miaka 25 ya NMB ni leo
Benki ya NMB leo inatimiza miaka 25 tangu kuanzishwa kwake, ikiwa imeanzishwa kwa Sheria ya Bunge ya ‘The National Microfinance Bank incorporation Act ya mwaka 1997 baada ya kugawanywa iliyokuwa benki ya Taifa ya...