Tuzo za AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA) 2019

0
1920

Jumla ya majina 17 ya watanzania na Kundi moja la wacheza muziki wametajwa kuwania vipengele mbalimbali vya tuzo za AFRICAN MUZIK MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA)


AFRIMMA ni sherehe za tuzo za Diaspora ambazo zinaangazia aina zote za muziki ikiwa ni pamoja na: Afrobeats, Assiko, Bongo Fleva, Decale, Funana, Genge, Hiplife, Kwaito, Lingala na Soukous.


Mwaka huu waandaaji wa Tuzo za AFRIMMA nchini Marekani wametaja majina ya wanamuziki wanaowania Tuzo hizo.


Msanii Diamond Platnumz kutoka Tanzania anaongoza kuwania vipengele 6, Ikiwemo wimbo Bora wa mwaka , Msanii Bora wa mwaka na Video Bora ya mwaka.

Vilevile Ommy Dimpoz pamoja na Alikiba wote wametajwa kwenye vipengele vitatu tofauti

Wasanii wengine ni Vanessa Mdee, Nandy, Rayvanny, Harmonize, Jux, Lil Ommy, S2Kizzy, Kimamba, Laizer, Dj D-Ommy, Director Kenny, H. Bajuni (Mchezaji wa Diamond Platnumz), Navy Kenzo (Aika na Nahreel) na kundi la kucheza la Rabit Crew 255.

Orodha ya majina ya wasanii wanaowania Tuzo za AFRIMMA na vipengele vya ushindani


Msani Bora wa Mwaka
Diamond Platnumz (Tanzania)
Davido – (Nigeria)
Fally Ipupa- Congo
Burna Boy – (Nigeria)
Wizkid -(Nigeria)
Black Coffee – Afrika Kusini
Aya Nakamura -Mali/France
Sarkodie- Ghana
Yemi Alade- Nigeria
Busiswa- Afrika Kusini


Wimbo bora wa mwaka
Burna Boy x Zlatan – Killing Dem
Rema – Dumebi
Master KG ft Zanda Zakuza – Skeleton Move
Ya Levis – Katchua
Wizkid- Fever
Diamond Platnumz ft Fally Ipupa- Inama
BM ft Awilo Longomba – Rosalina remix
Burna Boy- On the low
Aya Nakamura- Pookie
Shatta Wale – My Level
Video ya AFRIMMA ya mwaka
Rema -Dumebi
Zlatan x Burna Boy- Killin Dem
Diamond Platnumz ft Fally Ipupa – Inama
Patoranking ft Davido- Confirm
Ommy Dimpoz- You are the best
Anselmo Ralph ft C4Pedro – Pra Cuiar Mais
Flavour ft Umu Obiligbo- Awele
Aya Nakamura- Pookie


Msanii Bora wakiume kutoka Afrika Mashariki
Diamond Platnumz – Tanzania
Alikiba – Tanzania
Harmonize – Tanzania
Nyanshinski – Kenya
Juma Jux – Tanzania
Eddy Kenzo – Uganda
Khalighraph Jones – Kenya
Ommy Dimpoz – Tanzania
Rayvanny – Tanzania
The Ben – Rwanda


Msanii Bora wakike kutoka Afrika Mashariki
Vinka –Uganda
Victoria Kimani – Kenya
Vanessa Mdee – Tanzania
Akothee – Kenya
Nandy – Tanzania
Sheebah Karungi – Uganda
Fena Gitu (Fenamenal) – Kenya
Knowles Butera – Rwanda
Rema Nmakula – Uganda
Juliana Kanyomozi – Uganda


Msanii Bora wakiume kutoka Afrika ya Kati
Fally Ipupa – Congo
Dadju – Congo
Stanley Enow – Cameroon
Preto Show – Angola
Naza– Congo
Ya Levis – Congo
Salatiel – Cameroon
Matias Damasio- Angola
Anselmo Ralph – Angola
C4 Pedro – Angola
Fally Ipupa – Congo
Msanii Bora wa KuRap
Phyno- Nigeria
Olamide – Nigeria
Falz – Nigeria
Sarkodie – Ghana
Tha Dogg – Namibia
Cassper Nyovest – Afrika Kusini
Zlatan Ibile – Nigeria
Nasty C – Afrika Kusini
Khaligraph Jones – Kenya
Medikal – Ghana
Wimbo Bora wakushirikiana
Burna Boy x Zlatan – Killing Dem
Diamond Platnumz ft Fally Ipupa – Inama
Beyonce x Wizkid x Blue Ivy x Saint JHN–Brown Skin Girls


Mwongozaji Bora wa Mwaka
Justin Campos – South Africa
Dr Nkeng Stephens -Cameroon
Enos Olik – Kenya
Clarence Peters – Nigeria
David Duncan- Ghana
Sasha Vybz – Uganda
Director Kenny – Tanzania
Daps- Nigeria
Gyo Gyimah – Ghana
Patrick Ellis – Nigeria
Dj bora Afrika
Dj Spinall – Nigeria
Dj Black Coffee – Afrika Kusini
Man Renas- Angola
DJ Jeff- Angola
Dj D-Ommy – Tanzania
DJ Slim- Ghana
Dj Neptune – Nigeria
DJ Ecool- Nigeria
DJ Tira – South Africa
DJ Euphonik- Afrika Kusini
Dj Bora Afrika USA
Dj Tunez – Nigeria
Dj Fully Focus – Kenya
Dj Silent Killa – Caribbean
Dj Poison Ivy – Kenya
Dj Mekzy–Nigeria
Dj Shinski – Kenya
Dj Rell- Sierra Leone
DJ Freshy K- Nigeria
DJ Nana B- Ghana
Dj Moh – Ivory Coast


Video Bora ya AFRIMMA mwaka 2019
Rema -Dumebi
Zlatan x Burna Boy- Killin Dem
Diamond Platnumz ft Fally Ipupa – Inama
Patoranking ft Davido- Confirm
Ommy Dimpoz- You are the best
Anselmo Ralph ft C4Pedro – Pra Cuiar Mais
Flavour ft Umu Obiligbo- Awele
Aya Nakamura- Pookie
Adekunle Gold- Kelegbe Megbe
Sho Madjozi – Idhom
Mwandaaji Bora wa muziki 2019
Masterkraft – Nigeria
Northboi Oracle- Nigeria
Kimamba – Tanzania
Kel P- Nigeria
Laizer Classic- Tanzania
Guilty Beatz- Ghana
Dj Maphoriza- Afrika Kusini
S2kizzy- Tanzania
Salatiel- Cameroun
Sidike Diabate- Mali


Mchezaji Bora wa Muziki Afrika
Kaffy Dance Queen – Nigeria
The Grove – Angola
Sherri Silver – Rwanda
La Petite Zota – Ivory Coast
Manuel Canza Laurenzo- Angola
Ghetto Triplet Kids (Uganda)
Izzy Odigie (Nigeria)
Bajuni – Tanzania
Rabbit Crew 255- Tanzania
The Team – Angola


Mwimbaji Bora kwa lugha ya Kireno (Best Lusophone)2019
DJODJE – Cape Verde
Mr Bow – Mozambique
Matias Damasio – Angola
Nelson Freitas – Cape Verde
Anselmo Ralph – Angola
Maira Andrade – Cape Verde
Calema – Sao Tome
CEF- Angola
Puto Portuguesa – Angola
Filho do Zua – Angola


Mwimbaji Bora kwa lugha ya Kifaransa (Best Francophone) 2019
Stanley Enow – Cameroon
Fally Ipupa – Congo
Dadju – Congo
Toofan – Togo
Ariel Sheney- Ivory Coast
Dj Arafat – Ivory Coast
Daphne – Cameroon
Ya Levis- Cameroon
Aya Nakamura- Mali
Salatiel – Cameroon


Mtangazaji/Muhusika Bora wa Radio/TV 2019
Willy Tuva – Kenya
Lil Ommy – Tanzania
Do2dtun- Nigeria
Yaw- Nigeria
Jamal Gaddafi- Kenya
Afonso Quintas – Angola
Sammy Forson- Ghana
James Onen- Uganda
Dj Fresh – South Africa
Konnie Toure- Ivory Coast
Kundi Bora la Bora
Sauti Sol – Kenya
Toofan – Togo
B26 – Angola
R2bee’s – Ghana
Navy Kenzo – Tanzania
Umu Obiligbo – Nigeria
Forca Suprema – Angola
Bracket- Nigeria
Black Motion- South Africa
4KEUS- Congo


Mwanamziki chipkizi
Rema – Nigeria
Kwesi Arthur – Ghana
Naiboi- Kenya
Zlatan – Nigeria
Ya Levis – Congo
Fireboy DML – Nigeria
Rui Orlando- Angola
Soraia Ramos – Cape Verde
Gaz Mawete- Congo
Sho Madjozi- South Africa


Mwimbaji Bora wa Nyimbo za Dini
Frank Edwards – Nigeria
Gloria Muliro – Kenya
Bethel Revival Choir- Ghana
Papa Dennis – Kenya
Miguel Buila – Angola
Diana Hamilton – Ghana
Icha Kavons – Congo
Willy Paul – Kenya
Mercy Chinwo – Nigeria
Winnie Mashaba – South Africa
Maudhui Bora “Live Act”
Flavour – Nigeria
Ali Kiba – Tanzania
Sauti Sol – Kenya
Stonebwoy – Ghana
Sidiki Diabate – Mali
Yemi Alade – Nigeria
Becca – Ghana
Burna Boy – Nigeria
Diamond Platnumz- Tanzania
Fally Ipupa – Congo