Show zangu Afrika najaza viwanja

0
513

Mwanamuziki Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz amesema hapa Afrika, katika nchi yoyote atakayofanya onesho lake lazima ajaze uwanja. Pia amegusia kwamba mikakati yake ni kuupeleka muziki wa Bongo Fleva kimataifa.

Amesema hayo kuelekea onesho lake la kufa mtu litakalofanyika Dar es Salaam April 26 na 27, 2024.

Kwa mtazamo wako, nchi Gani unaona Simba hatoboi?