Shangwe la uzinduzi wa Uhamasishaji wa Sensa ya 2022

0
3498

Baadhi ya wasanii wakitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Msanii wa Bongo Flavour Diamond Platnumz akitumbuiza katika tukio la
uzinduzi wa Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Wananchi wa Dodoma wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kuwasili katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo tarehe 14 Septemba, 2021 kwa ajili ya kuzindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022.
Msanii wa Bongo Flavour Ali Kiba akitumbuiza katika tukio la uzinduzi wa
Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi kwa mwaka 2022 lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.
Msanii wa Bongo Flavour Nandy akitumbuiza katika tukio la uzinduzi wa