Misemo iliyobamba 2022

0
227

Misemo ni sehemu ya maisha ya jamii, ambapo huzuka na hupotea baada ya muda fulani.

Mwaka 2022 imezuka misemo mingi, hii ni baadhi tu ya iliyojipatia umaarufu zaidi.

Unaweza kuongeza msemo mwingine ambao unaukumbuka.