Harmonize na Rayvanny ni wanangu

0
761

“Mimi naishi na watu vizuri sana, binadamu ana mapungufu yake kwa hiyo hawa wasanii wote Rayvanny, Harmonize wote mimi nawaitaga wanangu,”

“Hata ilivyotoka chart ya Spotify niliandika Simba na wanae, hata itokee kitu gani mimi moyoni mwangu hawa bado ni wanangu. Wanavyoenda kufanya vizuri huko nje sifa zinarudi kwangu… alilelewa na Diamond Platnumz.”

Mwanamuziki wa Bongo Flava
Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz ameyasema hayo kuelekea tamasha kubwa atakalolifanya Aprili 26 na 27 mwaka huu katika Viwanja vya Posta mkoani Dar es Salaam.

Je, Watoto wanaelewa anachokisema Baba?.