Msanii wa muziki kutoka Nigeria Tiwa Savage kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza rasmi tarehe ya ujio wa EP yake mpya.
Tiwa pia ameachia orodha ya nyimbo hizo 5 mpya katika EP hiyo ambazo amewashirikisha wasanii wakubwa wa muziki duniani kama Brandy, Nasir Jones, Fountain Baby, Rick King na Tay Iwar
Tiwa Savage ameipa EP yake jina la Water & Garri ambayo itaingia kwenye soko la burudani Ijumaa hii ya tarehe 20/08/2021
#TiwaSavage