Simba yapigwa faini kisa ushirikina

Simba SC imetozwa faini ya shilingi Milioni moja kwa kosa la mashabiki na walinzi wake wa uwanjani kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia...