Mwili wa Mzee Mwinyi ukiwasili Uwanja wa Amaan

0
496

Mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi ukiwasili katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar tayari kwa viongozi na wananchi kutoa heshima za mwisho.

Rais Samia Suluhu Hassan anawaongoza watanzania katika shughuli hiyo.