Mwili wa Mzee Mwinyi ukiingizwa msikitini

0
513

Maofisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan tayari kuuingiza kwenye Msikiti wa Zanj-ber uliopo eneo la Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi.