Kwaheri Mzee Mwinyi

0
247

Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akiomba Dua wakati wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar leo Machi 02, 2024.