Tuesday, January 22, 2019
Home Authors Posts by admin

admin

772 POSTS 1 COMMENTS

LATEST ARTICLES

video

Zanzibar yapata neema kwenye umeme

Baraza la Mawaziri limeridhia utozwaji wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa kiwango cha asilimia sifuri kwenye umeme unaouzwa na Shirika la Umeme...

Pienar kuendesha programu za michezo nchini

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Everton ya England, - Steven Pienar anatarajiwa kuendesha programu maalumu za michezo kwa timu za vijana za mpira...

Ethiopia na Somalia kuwakabili Al Shabaab

Ethiopia  na Somalia  zimekubaliana kuunganisha nguvu ili kupambana na wanamgambo wa Al Shabaab wa nchini Somalia ambao wameendelea kuhatarisha usalama wa nchi hizo na...

Tshisekedi aendelea kutambuliwa

Nchi mbalimbali za Afrika pamoja na Jumuiya za Kimataifa zimeendelea kumtambua Felix Tshisekedi kuwa ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada...