Thursday, August 16, 2018

Burudani

Wengi wajitokeza kushiriki Club Rahaleo Dodoma

Jaji Mkuu wa shindano la Club Rahaleo show Innocent Nyanyagwa Wasanii wengi wamejitokeza katika siku ya kwanza ya usaili wa kusaka vipaji kwenye shindano la...

Nyoshi El Saadat awahimiza vijana kushiriki Club Raha Leo Show

Mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi Nyoshi El Saadat Mwanamuziki wa muziki wa dance nchini Nyoshi El Saadat amewashauri vijana kuchangamkia fursa ya kuonyesha vipaji...

Msanii maarufu India jela miaka mitano kwa kuua swala

Muigizaji maarufu wa filamu za kihindi Salman Khan Mahakama moja nchini India imemhukumu nyota na muigizaji maarufu wa  filamu za kihindi  Salman Khan kifungo cha miaka mitano...