Tanzania na Russia kushirikiana kudhibiti uhalifu

Tanzania imedhamiria kushirikiana na Russia katika kudhibiti uhalifu nchini ukiwemo ule wa kimtandao.Kushirikiana huko ni pamoja na kuwajengea uwezo askari wa vyombo vya ulinzi...

Helikopta zagongana na kuua askari 10

Askari kumi wa Jeshi la Wanamaji la Malaysia wamefariki dunia baada ya helikopta mbili za Jeshi hilo kugongana.Helikopta hizo zimegongana wakati wa mazoezi ya...