WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA ARIDHISHWA NA UJENZI HOSPITALI YA RUANGWA

0
324

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA amemwagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya RUANGWA, ANDREA CHEZUE kusimamia Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya RUANGWA ili ikamilike kwa Wakati.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo alipotembelea na Kukagua Ujenzi wa Hospitali hiyo Mpya ya Wilaya na Kueleza Kuridhishwa na Kazi iliyofanyika.