Watu Sita wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha gari Dogo la abiria aina ya Haice na gari ndogo ina ya Toyota Landcruser katika barabara inayoelekea katika halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga.
Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa wilaya ya Kahama, Anamringi Macha amesema watoto Watatu ni miongoni mwa watu waliofariki katika ajali hiyo
Jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi zaidi juu ya ajali hiyo.