KitaifaMkurugenzi TPDC arudishwa KaziniBy Judith Ene Laizer - July 23, 20190187ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza wizara ya nishati kumrejesha kazini mara moja aliekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Dkt. James Mataragio.