Wakazi wa Chato kumpokea Rais Yoweri Museveni uwanja wa ndege wa Chato

0
495

Rais MUSEVENI atamtembelea Rais Dkt. JOHN MAGUFULI kijijini kwake MLIMANI wilaya ya CHATO mkoani GEITA katika ziara yake ya siku moja nchini Tanzania.