Nchi za Afrika Mashariki kukuza uchumi wake kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano

0
488

Naibu Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amesema lengo la nchi za Afrika mashariki ikiwemo Tanzania ni kukuza uchumi kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano ambayo ni nyenzo muhimu katika kukuza uchumi.