Waziri Kamwelwe akagua mradi mkubwa wa RADA

0
317

Waziri wa Ujenzi , uchukuzi na mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema Serikali itaendelea kunufaika na ujenzi wa miradi minne ya RADA nchini inayojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni sitini na saba ambayo italifanya anga la Tanzania kuwa salama zaidi.