Gara B na Rushaynah kwenye treni Mchongoko

0
124

Mshereheshaji Godfrey Rugarabamu maarufu ‘MC Gara B’ na msanii wa filamu Rushayna Salum maarufu ‘Rushaynah’ ni miongoni mwa abiria waliotumia usafiri wa treni Mchongoko kuelekea Jijini Dodoma.

Safari ya kwanza ya treni ya kisasa ya Mchongoko imeanza leo Novemba Mosi, 2024 kutoka Stesheni ya Magufuli mkoani Dar es Salaam hadi Stesheni Kuu ya Samia mkoani Dodoma.

✍🏾📸 @clementsilla