AICC yatajwa kuwa mhimili wa sekta ya utalii

0
89

Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kimetajwa kuwa ni moja ya mihimili muhimu katika kufanikisha ajenda ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kukuza sekta ya utalii nchini.