Majaliwa kwenye tuzo za BMT

0
246

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili kwenye ukumbi wa The Super Dom uliopo Masaki, Dar es Salaam ambapo ndiye mgeni rasmi katika hafla ya utoaji Tuzo za Pili za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa wanamichezo bora wa mwaka 2024.