Yanga bingwa Kombe la Shirikisho la CRDB

0
2429

Yanga SC wanachukua ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB mbele ya matajiri wa Chamazi ‘Azam FC’, kwa ushindi wa mikwaju ya penati 6 – 5.

Yanga wanachukua kombe la pili ndani ya msimu mmoja wa 2023/2024 ambapo wameshachukua ubingwa wa Ligi kuu ya Tanzania Bara na Ubingwa wa Kombe la Shirikisho la CRDB.