Rais Samia apokelewa Paris

0
362

Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Ali Jabir Mwadini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Paris nchini Ufaransa leo Mei12, 2024.

Akiwa jijini Paris Rais Samia anatarajiwa kushiriki mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika Mei 14, 2024 ambapo atakuwa Mwenyekiti Mwenza katika mkutano huo.