Kinana atembelea TBC

0
186

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefanya ziara katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Kinana amefanya ziara hiyo kwa lengo la kujionea namna TBC inavyoendesha shughuli zake pamoja na kutembelea maktaba iliyohifadhi nyaraka za kumbukumbu za ukombozi wa Bara la Afrika.

tbconline #tbcupdates #tbcdigital