Msigwa msibani kwa Gardner

0
148

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa ni miongoni mwa viongozi mbalimbali waliofika katika viwanja vya Leaders Club mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mtangazaji wa Clouds FM Gardner Habash aliyefariki dunia Aprili 20, 2024 mkoani Dar es Salaam.