Baadhi ya Watanzania waliofika kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma yanapofanyika Maombi na Dua ya kuliombea Taifa kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wakiendelea na maombi hayo.
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anawaongoza Watanzania kwenye maombi hayo.