Maombi na Dua ya kuliombea Taifa

0
149

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania kwenye Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano.

Watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini wamejitokeza kushiriki kwenye maombi hayo.

Endelea kufuatilia maombi hayo kupitia TBC1, TBC Taifa na mitandao yetu ya kijamii kwa anwani ya TBConline.