Shahada ya udaktari wa heshima

0
323

Rais Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki, Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo leo Aprili 18, 2024.