Pengo amtembelea Makonda ofisini kwake

0
350

Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Kardinali Polycarp Pengo, Leo Aprili 15, 2024 amefika ofisini kwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwa lengo la Kuzungumza naye na kumuombea heri Katika kuwatumikia wananchi wa mkoa huo.

Akiwa amefuatana na viongozi wengine wa Kanisa Katoliki, Askofu Mkuu mstaafu Pengo pia amemuhimiza Makonda kuendelea kujitoa katika kuwatumikia Wananchi kama mafundiaho ya Mwenyenzi Mungu yanavyohimiza kujitoa kwa ajili ya wengine.