Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Aisha Dachi, kuhusu mradi wa usikivu wa kurushia matangazo ya TBC Taifa na Bongo FM wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) leo Aprili 15, 2024.
Dkt. Biteko anazindua mradi wa Loliondo – Ngorongoro kwa niaba ya vituo vingine ambavyo ni Makete, Kyela, Uvinza na Mbinga kwenye kiwanja cha Kassim Majaliwa Majaliwa.