Tumepoteza kila kitu, hatuna chochote

0
139

Tatu Kisaburi ni mmoja wa wakazi wa eneo la Kisongo mkoani Arusha, akielezea namna walivyoathiwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua zilizonyesha mkoani humo usiku wa kuamkia leo Aprili 11, 2024.

Amesema kwa sasa hawana kitu chochote, kwani vyote vimeharibiwa na mafuriko hayo.