Walioathiriwa wa mafuriko waendelea kuokolewa

0
136

Serikali inaendelea na zoezi la kuwaokoa watu walioathiriwa na mafuriko katika Kata za Muhoro na na Chumbi B Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani.

Wakizungumza na TBC Digital wakazi wa kata hizo wamesema wameathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na baadhi ya mazao na makazi yao kuharibiwa na mafuriko hayo.