RC Makonda akiwasili Arusha

0
309

Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiwasili katika kiwanja kidogo cha ndege cha Arusha.

Makonda ameteuliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hsssan kushika wadhifa huo akichukua mikoba ya John Mongella aliyeteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa upande wa Bara.