Mchezaji wa timu ya Yanga, Pacome Zouzoua ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Ivory Coast, kuchukua nafasi ya Ibrahim Sangare anayechezea Nottingham Forest ya Uingereza
Pacome ameitwa huku akiwa amepata majereha katika mchezo wa Dar es Salaam Derby baina ya Azam FC dhidi ya timu yake ya Yanga na kulazimika kutolewa nje.
Je! Yanga wataruhusu Pacome akajiunge na mabingwa wa Afrika 2023/2024