Iwe mvua iwe jua tutamuaga Mzee Mwinyi

0
441

Wananchi wakiwa katika viunga mbalimbali vya mji wa Zanzibar. Bila kujali mvua inayoendelea kunyesha wamejipanga kwenye mitaa kumuaga Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye mwili wake umepelekwa katika msikiti wa Jamii Zanj-ber kwa ajili ya kuswaliwa kabla ya maziko.