JK katika tafakuri

0
566

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akiwa kwenye tafakuri nzito aliposhiriki shughuli ya kuaga mwili wa Rais wa awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi inayoendelea katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Hayati Mzee Mwinyi ndiye aliyemteua Dkt. Jakaya Kikwete kuingia katika nyadhifa mbalimbali za kichama na kisha serikali.