Pinda msibani kwa Lowassa Monduli

0
253

Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ni miiongoni mwa viongozi wastaafu waliofika nyumbani.kwa Waziri Mkuu mstaafu Hayati Edward Lowassa katika kijiji cha Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha, kwa ajili kuaga mwili wa kiongozi huyo aliyefariki dunia Februari 10, 2024.

Mwili wa Lowassa unaagwa leo Februari 16, 2024 kijijini Ngarash na utazikwa kesho Februari 17, 2024.