Jenista, Dkt. Yonazi msibani kwa Lowassa

0
284

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt.Jim Yonazi wakiwa msibani nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Marehemu Edward Lowassa Masaki mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha kiongozi huyo kilichotokea Februari 10, 2024 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Dar es Salaam.

Lowassa atazikwa Jumamosi Februari 17, 2024 nyumbani kwake Monduli mkoani Arusha.