KitaifaDkt. Mpango msibani kwa LowassaBy TBC - February 11, 20240241ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Marehemu Edward Lowassa, Masaki mkoani Dar es Salaam kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha kiongozi huyo.