Tishio la Kimbunga Kenneth lapungua

0
566

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini – TMA, Dkt Agnes Kijazi amesema kuwa tishio la kimbunga Kenneth katika mikoa ya Kusini limepungua, lakini Mamlaka hiyo itaendelea kukifuatilia na kuwataka wakazi wa eneo hilo kuendelea kuchukua tahadhari.