Wanafunzi 25 waachiwa huru Zanzibar

0
451

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kusherehekea Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ametoa msamaha kwa kuwaachia huru wanafunzi (wafungwa) 25 wanaotumikia adhabu zao katika vyuo cha mafunzo (magereza) ambapo kati ya hao wanafunzi 15 wapo Unguja na Wanafunzi 10 upande wa Pemba.