KitaifaKuji ateuliwa Kamishna TANAPABy TBC - January 11, 20240359ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Musa Kuji kuwa Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).Kuji alikuwa akikaimu nafasi hiyo.